Mkurungenzi mkuu wa Facebook, Mark Zuckerberg ameahidi "kurekebisha" Facebook ikiwa kama malengo yake binafsi ya mwaka 2018. Katika ujumbe aliyoutuma kwenye ukurasa wake wa Facebook, amesema kuwa ...
Fuatilia sehemu ya pili ya mada hii juu ya ukombozi wa mwanamke kwenye nyanja ya kiuchumi nchini Tanzania. Mkurungenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi, anaendelea kutupasha kinaga ubaga ...